Film★ 7.620256m 59sNeema Gospel Choir - Zaidi na Zaidi (Live Music Video)PopPlay My listCountryKenyaLanguageEnglishReleased2025-05-21Runtime6m 59sViewers4,057StorylineWimbo unaoshuhudia uaminifu wa Mungu katika kila hali. Ni wimbo wa faraja, tumaini, na ushindi kwa kila mtu anayemtumainia Bwana. 📖 Zaburi 37:25 Sijawahi kuona mwenye haki ameachwa, wala mzao wake akiomba chakula. 📖 Mathayo 7:7 Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nanyi mtafunguliwa. Wimbo huu ni ushuhuda hai wa neema ya Mungu isiyokoma. Tukimtafuta uso wake kwa bidii, tusome na kutafakari neno lake, tutashuhudia matendo yake makuu. 𝗖𝗢𝗡𝗡𝗘𝗖𝗧 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗨𝗦: Instagram: https://www.instagram.com/neemagospelchoirtz/ Facebook: https://www.facebook.com/neemagospel/ X: https://x.com/NeemaGospelChor/ Threads: https://www.threads.net/@neemagospelchoirtz Tiktok: https://www.tiktok.com/@neemagospelchoir 𝐂𝐨𝐧𝐭𝐚𝐜𝐭 𝐮𝐬: Whatsapp: +255 766 777 288 Email: info@neemagospelchoir.org Website: www.neemagospelchoir.org ©️2024Cast & crewNeema Gospel ChoirSingerMore like thisMcfly est trop naïf, Carlito est trop brillant (devinez qui a écrit ce titre)20237.9